Dario Argento
Dario Argento (amezaliwa tar. 7 Septemba mwaka 1940) ni mwongozaji wa filamu, mtaarishaji na mtunzi kutoka nchini Italia. Argento alifahamika sana kwa umahili wake wa kutengeneza filamu za kutisha. Dario pia aliwahi kutunga na kuongoza baadhi ya Filamu za Western ya Italia, maarufu kama Spaghetti Western.
Dario Argento | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Dario Argento |
Alizaliwa | 7 Septemba 1940 Rome, Italia |
Kazi yake | Mwongozaji wa filamu Mwigizaji Mtunzi |
Filamu za Dario Argento
haririKama mwongozaji
hariri- The Bird with the Crystal Plumage au(L'Uccello Dalle Piume di Cristallo) (1970) (Pia mtunzi)
- The Cat o' Nine Tails au (Il Gatto a Nove Code) (1971) (Pia mtunzi)
- Four Flies on Grey Velvet au (4 Mosche di Velluto Grigio) (1971) (Pia mtunzi)
- The Five Days au (Le Cinque Giornate) (1973) (Pia mtunzi)
- Door into Darkness (Mfululizo wa TV, Testimone Oculare, Il Tram) (1973) (Pia mtunzi na mtaarishaji)
- Deep Red au (Profondo Rosso) (Pia inajulikana kama The Hatchet Murders) (1975) (Pia mtunzi)
- Suspiria (1977) (Pia mtunzi
- Inferno (1980) (Pia mtunzi)
- Tenebrae (Pia inajulikana kama Unsane) (1982) (Pia mtunzi)
- Phenomena (Pia inajulikana kama Creepers) (1985) (Pia mtunzi na mtaarishaji)
- Opera ni (Opera) (1987) (Pia mtunzi na mtaarishaji)
- Two Evil Eyes au (Due Occhi Diabolici) au (Segment, The Black Cat) (1990) (Pia mtunzi na mtaarishaji mkuu)
- Trauma (1993) (Pia mtunzi na mtaarishaji)
- The Stendhal Syndrome au (La Sindrome di Stendhal) (1996) (Pia mtunzi na mtaarishaji)
- The Phantom of the Opera au (Il Fantasma dell'Opera) (1998) (Pia mtunzi)
- Sleepless au (Non ho Sonno) (2001) (Pia mtunzi na mtaarishaji)
- The Card Player au (Il cartaio) (2004) (Pia mtunzi na mtaarishaji)
- Do You Like Hitchcock? au (Ti Place Hitchcock?) (2005) (Pia mtunzi)
- Masters of Horror (Mfululizo wa katika TV (2005)
- Masters of Horror (Mfululizo wa katika TV (2006)
- The Mother of Tears (2007) (Pia mtunzi na mtaarishaji)
Kama mtunzi(sio mwongozaji)
hariri- Scusi, lei è Favorevole o Contrario? (1967)
- Every Man Is My Enemy au (Qualcuno ha Tradito) (1967)
- Heroes Never Die au (Les Héros ne Meurent Jamais) (1968)
- Once Upon a Time in the West au (C'era una Volta il West) (1968) (Hadithi)
- Today It's Me... Tomorrow It's You! au (Oggi a me... domani a te!) (1968)
- Comandamenti per un Gangster (1968)
- Commandos (1968)
- La Rivoluzione sessuale au (The Sexual Revolution) (1968)
- Cemetery Without Crosses au (Une Corde, un Colt) (1969)
- Love Circle au (Metti una Sera a Cena) (Pia inajulikana kama One Night at Dinner) (1969)
- Probabilità Zero (1969)
- Legion of the Damned au (La Legione dei Dannati) (Pia inajulikana kama Battle of the Commandos) (1969)
- The Five Man Army au (Un Esercito di Cinque Uomini) (1969)
- Season of the Senses au (La Stagione dei Sensi') (1969)
- Man Called Amen au (Così Sia (1972)
- Demoni au Dèmoni (1985) (Pia mtaarishaji)
- Demoni 2 au (Demoni 2) (1986) (Pia mtaarishaji)
- The Church au (La Chiesa) (aka Demons 3) (1989) (Pia mtaarishaji)
- The Sect au (La Setta) (aka Demons 4) (1991) (Pia mtaarishaji)
- The Wax Mask au (M.D.C. - Maschera di Cera) (1997) (Hdithi) (Pia mtaarishaji)
Kama mtayarishaji (sio mtunzi wala mwongozaji)
hariri- Door into Darkness au (La Bambole) (1973)
- Dawn of the Dead au (Zombi) (1978)
- Turno di Notte (Mufululizo wa katika TV) (1987)
- Scarlet Diva (2000)
Ona pia
haririViungo vya Nje
hariri- RARE US Dario Argento Appearance
- Dark Dreams: the films of Dario Argento Ilihifadhiwa 12 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Senses of Cinema: Great Directors Critical Database
- They Shoot Pictures, Don't They?
- Dario Argento at the Internet Movie Database
- ToxicUniverse.com article Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine. by Mike Bracken
- Kinoeye special issue on Argento
- The filming location Detectives have sleuthed Demoni Ilihifadhiwa 12 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dario Argento kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |