Nenda kwa yaliyomo

Samueli II : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeondoa: pt,eo,jv,pl,gd,ru,fr,es,fi,la,de,id,cs,el,scn,sv,an (strongly connected to sw:Vitabu vya Samweli),en (strongly connected to sw:Samueli I)
 
(marekebisho 8 ya kati na watumizi wengine 6 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kitabu cha pili cha Samueli''' kilikuwa sehemu ya pili ya Kitabu cha [[Samweli]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.
'''Kitabu cha pili cha Samueli''' kilikuwa sehemu ya pili ya [[Kitabu]] cha [[Samweli]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.


Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya [[Kigiriki]]) inayojulikana kama [[Septuaginta]], halafu katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia]] ya [[Ukristo]], kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.
Kuanzia [[tafsiri]] ya kwanza (ya [[Kigiriki]]) inayojulikana kama [[Septuaginta]], halafu katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia]] ya [[Ukristo]], kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.


Hata hivyo mada yake na ya Kitabu cha kwanza ([[Samueli I]]) ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa [[Israeli]] chini ya Samueli aliyewapaka mafuta awaweke wakfu [[mfalme Sauli]] halafu [[mfalme Daudi]].
Hata hivyo [[mada]] yake na ya Kitabu cha kwanza ([[Samueli I]]) ni moja: kueleza habari za mwanzo wa [[ufalme]] wa [[Israeli]] chini ya Samueli aliyewapaka [[mafuta]] awaweke [[wakfu]] [[mfalme Sauli]] halafu [[mfalme Daudi]].


Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].


Kwa habari zaidi tazama [[Vitabu vya Samweli]].
Kwa habari zaidi tazama [[Vitabu vya Samweli]].

==Viungo vya nje==

*[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/2Sam/ Kitabu cha Pili cha Samueli katika Biblia (Union Version)]


{{Biblia AK}}
{{Biblia AK}}
{{mbegu-Biblia}}

[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]

[[ar:سفر صموئيل الثاني]]
[[ca:Llibres de Samuel]]
[[et:Saamueli raamatud]]
[[hak:Sat-mû-ngí-ki-song]]
[[he:ספר שמואל]]
[[it:Libri di Samuele]]
[[ja:サムエル記]]
[[nl:I en II Samuel]]
[[nn:Samuelsbøkene]]
[[no:Samuelsbøkene]]
[[simple:Books of Samuel]]
[[sk:Knihy Samuelove]]
[[tl:Mga Aklat ni Samuel]]
[[zh:撒母耳记]]
[[zh-min-nan:Sat-bó͘-jíⁿ-kì]]

Toleo la sasa la 08:57, 29 Mei 2024

Kitabu cha pili cha Samueli kilikuwa sehemu ya pili ya Kitabu cha Samweli katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.

Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya Kigiriki) inayojulikana kama Septuaginta, halafu katika Agano la Kale la Biblia ya Ukristo, kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.

Hata hivyo mada yake na ya Kitabu cha kwanza (Samueli I) ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa Israeli chini ya Samueli aliyewapaka mafuta awaweke wakfu mfalme Sauli halafu mfalme Daudi.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Kwa habari zaidi tazama Vitabu vya Samweli.

Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki

Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samueli II kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.