Nenda kwa yaliyomo

Kadirio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:32, 10 Julai 2024 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|[[Idadi kamili ya vitamu vilivyomo katika chombo hiki haiwezi kujulikana mara kwa macho, kwa sababu vingine havionekani, ila inaweza kukadiriwa kwa kudhani kwamba visivyoonekana vinabanana kama vile vinavyoonekana.]] '''Kadirio''' (kutoka neno la Kiarabu "kadiri"; kwa Kiingereza: ''estimation'') ni kipimo cha kitu kisicho cha hakika kabisa, ila kimekisiwa kwa kuzingatia mambo mba...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Idadi kamili ya vitamu vilivyomo katika chombo hiki haiwezi kujulikana mara kwa macho, kwa sababu vingine havionekani, ila inaweza kukadiriwa kwa kudhani kwamba visivyoonekana vinabanana kama vile vinavyoonekana.

Kadirio (kutoka neno la Kiarabu "kadiri"; kwa Kiingereza: estimation) ni kipimo cha kitu kisicho cha hakika kabisa, ila kimekisiwa kwa kuzingatia mambo mbalimbali, kama vile sampuli[1]. Hivyo ni hesabu ambayo ni ya kweli kwa kiasi tofauti, kulingana na ubora wa taratibu zilizofuatwa[2].

Kwa sababu inatarajiwa kuwa na usahihi fulani, inatumika mara nyingi kwa mafanikio [3].

  1. Raymond A. Kent, "Estimation", Data Construction and Data Analysis for Survey Research (2001), p. 157.
  2. James Tate, John Schoonbeck, Reviewing Mathematics (2003), page 27: "An overestimate is an estimate you know is greater than the exact answer". "An underestimate is an estimate you know is less than the exact answer".
  3. C. Lon Enloe, Elizabeth Garnett, Jonathan Miles, Physical Science: What the Technology Professional Needs to Know (2000), p. 47.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kadirio kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.