Nenda kwa yaliyomo

Ola Aina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:11, 28 Agosti 2024 na Kimwali mmbaga (majadiliano | michango) (#WPWP #WPWPARK)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Ola Aina


Temitayo Olufisayo Olaoluwa Aina (alizaliwa 8 Oktoba 1996) ni mchezaji wa soka anayecheza kama beki wa pembeni au beki wa kulia katika klabu ya Serie A ya Torino, na timu ya taifa ya Nigeria.

Aina ana ndugu yake, Jordan, ambaye kwa sasa anacheza katika Akademi ya Fulham.[1]

Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]

Chelsea Youth[2]

  • Ligi ya Premier ya U21 ya Barclays: 2013–14
  • FA Youth Cup: 2013–14 FA Youth Cup|2013–14, 2014–15
  • UEFA Youth League: 2014–15, 2015–16
  • Premier League Goal of the Month: Novemba 2020[3]
  1. Georgiou, Ethan (9 Machi 2021). "A bit about: Jordan Aina". fulhamfc.com. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2021.
  2. "Ola Aina's Profile". Chelsea F.C. 23 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 26 Agosti 2016.
  3. "Aina wins November Budweiser Goal of the Month award". Premier League. 11 Desemba 2020. Iliwekwa mnamo 11 Desemba 2020.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ola Aina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.