Portland Trail Blazers
Mandhari
Portland Trail Blazers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Portland, Oregon. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Damien Lillard, C.J. McCullon.
Historia
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Portland Trail Blazers kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |