19 Februari
Mandhari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 19 Februari ni siku ya hamsini ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 315 (316 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1473 - Nicolaus Copernicus, padri mwanasayansi kutoka Poland
- 1833 - Elie Ducommun, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1902
- 1859 - Svante Arrhenius, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1903
- 1943 - Timothy Hunt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2001
- 1956 - Roderick MacKinnon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2003
- 1959 - Damas Pascal Nakei, mwanasiasa wa Tanzania
- 1979 - Mariana Ochoa, mwanamuziki na mwigizaji wa filamu kutoka Mexiko
- 1983 - Miriam Odemba, mwanamitindo kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1351 - Mtakatifu Konrado wa Piacenza, Mfransisko mkaapweke kutoka Italia
- 1405 - Timur aliyeunda milki kubwa katika Asia ya Kati
- 1951 - Andre Gide, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1947
- 1952 - Knut Hamsun, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1920
- 1988 - Andre Cournand, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
- 2016 - Harper Lee, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Quodvultdeus, Wafiadini wa Palestina (19 Februari), Mansueti wa Milano, Barbato, Joji wa Vabres, Proklo wa Bisignano, Lusia Yi Zhenmei n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 13 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- Today in Canadian History Archived 20 Machi 2021 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |