Nenda kwa yaliyomo

Casper Van Dien

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Casper Van Dien
Casper Van Dien mnamo mwezi wa Mei 2012
Casper Van Dien mnamo mwezi wa Mei 2012
Jina la kuzaliwa Casper Robert Van Dien, Jr.
Alizaliwa 18 Desemba 1968, Ridgefield, New Jersey
Marekani
Kazi yake Mwigizaji.
Tovuti Rasmi Casper Van Dien

Casper Robert Van Dien, Jr. (amezaliwa tar. 18 Desemba 1968, mjini Ridgefield, New Jersey) ni mwigizaji filamu wa kimarekani. Anafahamika zaidi kwa jina alilotumia katika filamu ya Starship Troopers kama Luteni Johnny Rico. Pia humwita Andre kutoka katika filamu ya Watch Over Me ya katika televisheni ya My Network TV, humo alikuwa akicheza kama bodi gadi.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Casper alikulia mjini Ridgewood, New Jersey. Mama yake ni mwalimu mstaafu wa shule za chekecha ( Kwa kiing: nursery school), na baba yake ni rubani mstaafu wa jeshi la Navy Marekani. Kuna asilimia kubwa ya familia ya Van kuwa wanajeshi. Ukiachia baba yake, babu yake alikuwa mwanajeshi wa maji wakati ule wa Vita kuu ya pili ya dunia.

Van Dien inaonyesha kuwa chimbuko la familia yake ni Wadutch waliofika miaka mingi sana na kuishi mjini New York: kwa upande mwingine anaasili ya Uswidi, Ufaransa, Uingereza na Uzawa wa kiamerika. Akiwa na umri mkubwa tu, familia yake ilirudi Florida, ambako alikuja kujiandikisha katika shule ya St. Petersburg ni moja kati ya tawi la Admiral Farragut Military Academy, hiyo ilkuwa shule ya jeshi na akahitimu cheo cha tatu katika ukomandoo.

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Van alimuoa Carrie Mitchum (mjukuu wa Robert Mitchum) toka mwaka 1993 hadi 1997 walivyo tarikiana. Kwa pamoja walizaa watoto wawili: Cappy (Casper Robert Mitchum Van Dien) na Gracie (Caroline Dorothy Grace Van Dien). Wakati pekee wanandoa hawa wakifanya kazi pamoja katika filamu ya James Dean: Race with Destiny, ambayo pia Robert Mitchum alishiriki, basi hapo ndiko ndoa yao ilkiuwa inakaribia ukingoni.

Van pia alicheza cheza kidogo na huyu mwigizaji Denise Richards kwa muda mfupi, wakati wanatengeneza filamu ya Starship Troopers.

Wakati wa kutengeneza filamu ya The Collectors, Van akaonana na Catherine Oxenberg. Wakaja kufanya kazi tena katika filamu ya kutisha ya kikristo iliyokuwa inajulikana kama The Omega Code. Wawili hao baadae waliona mnamo Mei mwaka 1999. Oxenberg alikuwa na mtoto mmoja wa kike aitwae India, kutoka katika ndoa yake ya kwanza. Van Dien na Oxenberg kwa sasa wana watoto wawili wa kike, Maya na Celeste.

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
  • Kill Shot (1995) ... Randy
  • Lethal Orbit (1996)
  • Love Notes (1996) ... Adam
  • Night Eyes 4 (1996) .... Roy
  • Beastmaster III: The Eye of Braxus (1996) ... King Tal
  • The Colony (1996)
  • Night Scream (1997) ... Teddie/Ray Ordwell Jr.
  • Casper: A Spirited Beginning (1997) .... Bystander
  • James Dean: Race with Destiny (1998) ... James Dean
  • Starship Troopers (1997) ... Johnny Rico
  • Tarzan and the Lost City (1998) ... Tarzan/John Clayton
  • Casper Meets Wendy (1998) ... Crewcut Man
  • Modern Vampires (1998) ... Dallas
  • On the Border (1998) ... Jake Barnes
  • Shark Attack (1999) ... Steven McKray
  • The Collectors (1999) ... A.K.
  • The Omega Code (1999) ... Gillen Lane
  • Thrill Seekers (1999) ... Tom Merrick
  • Sleepy Hollow (1999) ... Brom Van Brunt
  • Sanctimony (2000) ... Tom Merrick
  • The Tracker (2000) ... Connor Spears
  • Partners (2000) ... Drifter
  • Python (2000) ... Bart Parker
  • Cutaway (2000) ... Delmira
  • Road Rage (2000) ... Jim Travis
  • Windfall (2001) ... Ace Logan
  • Chasing Destiny (2001) ... Bobby Moritz
  • Under Heavy Fire (2001) ... Capt. Ramsey
  • Danger Beneath the Sea (2001) ... Commander Miles Sheffield
  • The Vector File (2002) ... Gerry
  • Big Spender (2003) ... Eddie Burton
  • Premonition aka The Psychic (USA title) (2004) ... Jack Barnes
  • Maiden Voyage (2004) .... Kyle Considine
  • Skeleton Man (2004) ... Staff Sgt. Oberron
  • What the #$*! Do We (K)now!? (2004) (uncredited) .... Romantic Moritz
  • Dracula 3000 (2004) ... Capt. Abraham Van Helsing
  • Hollywood Flies (2005) ... Zach

Kazi za Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
  • Menu for Murder (1990) .... Life Guard
  • Dangerous Women (1991) - Brad Morris
  • Freshman Dorm (1992) ... Zack Taylor
  • Life Goes On (1992) - Udder Madness (episode) ... Guest Star
  • The Webbers (1993) (as Casper Robert Van Dien Jr.) .... Guy * * * * Miranda brings home
  • One Life to Live (1993-1994) ... Ty Moody
  • Dr. Quinn, Medicine Woman (1994) - The Cattle Drive (episode) ... Jesse
  • Beverly Hills, 90210 (1994) ... Griffin Stone
  • Married... with Children (1994) - Blonde and Blonder (episode) ... Eric
  • Silk Stalkings (1995) - I Know What Scares You (episode) ... Jeff * Chadwick
  • The Outer Limits (1997) - Heart's Desire (episode) ... Jake Miller
  • Titans (2000-2001) ... Chandler Williams
  • Rock Me Baby (2004) - Love at First Flight (episode) ... Michael
  • I Married a Princess (2005) ... Himself
  • The Fallen Ones (2005) ... Matt Fletcher
  • Personal Effects (2005) .... Chris Locke
  • Officer Down (2005) .... Officer Philip Gammon
  • The Curse of King Tut's Tomb (2006) .... Danny Freemont
  • Meltdown (2006) .... Tom
  • Slayer (2006) .... Hawk
  • Watch Over Me (2006) ... Andre
  1. http://pages.prodigy.net/ptheroff/gotha/yugoslavia.html Ilihifadhiwa 5 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
  2. http://tarzan-lostcity.warnerbros.com/cmp/prod2.html Ilihifadhiwa 27 Machi 2006 kwenye Wayback Machine.
  3. https://web.archive.org/web/20021020160725/http://www.geocities.com/tvtitans/ppl1113.html
  4. http://www.tribute.ca/bio.asp?id=1019

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]