Ibn Sina
Mandhari
Ibn Sina (pia: Avicenna; jina kamili: Abū ʿAlī al-Ḥusayn ibn ʿAbd Allāh ibn Sīnā; kwa Kiarabu ابو علی الحسین ابن عبدالله ابن سینا) ni kati ya wataalamu na wanafalsafa mashuhuri kabisa katika historia ya Uislamu.
Alizaliwa mnamo mwaka 980 karibu na mji wa Bukhara [1][2] katika Khorasan (leo nchini Uzbekistan) akafa mwaka 1037 mjini Hamadan [3][4]) katika Uajemi.
Alishughulika sayansi nyingi; alikuwa tabibu na pia mtaalamu wa fizikia, sheria, hisabati, astronomia na kemia.
Kwa jumla alitoa maandiko 450 kuhusu mada mbalimbali na 240 kati ya haya zimepatikana hadi leo. Vitabu vilitafsiriwa kwa lugha mbalimbali hata kwa Kilatini na kwa njia hiyo Ibn Sina alikuwa pia mwalimu wa Ulaya katika tiba na falsafa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Avicenna, Encyclopaedia Britannica
- ↑ Von Dehsen, Christian D. (1999). Philosophers and Religious Leaders. Greenwood Press. ku. p. 19. ISBN 1-5735-6152-5.
{{cite book}}
:|pages=
has extra text (help); Unknown parameter|coauthors=
ignored (|author=
suggested) (help) - ↑ [1]
- ↑ [2]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Avicenna an article by Seyyed Hossein Nasr on Encyclopedia Britannica Online
- Philosophy Bites podcast interview with Peter Adamson on Avicenna Ilihifadhiwa 31 Januari 2009 kwenye Wayback Machine..
- Avicenna Ilihifadhiwa 20 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine. An article by encyclopedia Iranica
- Biography & Works from Routledge
- Ibn Sina (Islamic Philosophy Online)
- Ibn Sina from the Encyclopedia of Islam
- Avicenna/Ibn Sina at the Internet Encyclopedia of Philosophy
- Physician's Day in Iran: A Reference Article on Pur Sina (Avicenna) by Manouchehr Saadat Noury Ilihifadhiwa 17 Machi 2008 kwenye Wayback Machine.
- Biography of Avicenna (in English) Ilihifadhiwa 15 Agosti 2017 kwenye Wayback Machine.
- Biography of Avicenna Ilihifadhiwa 3 Desemba 2002 kwenye Wayback Machine.
- Catholic Encyclopedia: Avicenna