Tomi Swick
Mandhari
Tomi Swick ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Kanada anayeishi Hamilton, Ontario, ambaye alisainiwa na lebo ya Warner Music Canada, lakini sasa anasainiwa na Slaight Music.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kennedy, John. "The swift rise of Tomi Swick", Canada.com, September 5, 2006. Retrieved on January 18, 2008.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tomi Swick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |