Des Moines, Iowa
Des Moines, Iowa | |||
| |||
Mahali pa mji wa Des Moines katika Marekani |
|||
Majiranukta: 41°20′27″N 93°37′15″W / 41.34083°N 93.62083°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Iowa | ||
Tovuti: www.dmgov.org |
Des Moines ni jina la mji mkuu wa jimbo la Iowa nchini Marekani. Mji wa Des Moines ulianzishwa mnamo mwaka wa 1843 mahali ambapo Mto Raccoon na Mto Des Moines inapokutana. Mji wa Des Moines umekuwa mji mkuu wa Iowa mnamo mwaka wa 1857.
Leo hii mji wa Des Moines umekuwa mji mkubwa kabisa katika jimbo hili la Iowa likiwa na wakazi takriban 194,163 mnamo mwaka wa 2005.
Des Moines ina makampuni meengi ya bima huko mjini kwake.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
Miji mikuu ya majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
41°20′27″N 93°37′15″W / 41.34083°N 93.62083°W
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Des Moines, Iowa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |