Music of the Sun
Mandhari
Music of the Sun | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Rihanna | |||||
Imetolewa | Agosti 26, 2005 | ||||
Imerekodiwa | Februari 2005–Mei 2005 | ||||
Aina | Pop, R&B, reggae | ||||
Urefu | 52:18 | ||||
Lebo | Def Jam | ||||
Mtayarishaji | Evan Rogers, Carl Sturken, Poke na Tone, Stargate, Rudy Maya, Johnny Nice, Vada Nobles, Full Force | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Rihanna | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Music of the Sun | |||||
|
Music of the Sun ni albamu ya kwanza kutoka kwa mwimbaji wa Kibarbados - Rihanna. Ilitolewa mnamo tar. 30 Agosti 2005 ikiwa chini ya Def Jam Records nchini Marekani. Rihanna amefanya kazi na watayarishaji kadhaa kwa ajili ya albamu yake wa kwanza, hasa ni Carl Sturken na Evan Rogers ambaye ametayarisha na kuanda nyimbo nyingi kutoka katika albamu hii. Kimuziki, imechanganya aina kadhaa za muziki wa Kikaribi hasa kwa ajili ya asili ya maisha yake ya awali. Albamu ilitolewa ikiwa na ripoti mchanganyiko ambao wengine wanaponda na kusema kwamba bado msanii mdogo katika nyanja za R&B na kuna wengine wanadai kwamba albamu ina athira kubwa ya Kikaribi.
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (2005) | Msambazaji | Nafasi | Matunukio | Mauzo |
---|---|---|---|---|
Australian Album Chart | ARIA | 18[1] | ||
Austrian Albums Chart | Media Control | 45 | ||
Canadian Albums Chart | CRIA/Nielsen SoundScan | 7 | Platinum | 100,000+[2] |
Germany Album Chart | Media Control | 31 | 30,000 | |
Irish Albums Chart | IRMA | 12 | ||
Italian Albums Chart | FIMI | 22 | 40,000 | |
Japanese Albums Chart | Oricon | 14 | 280,000 | |
New Zealand Album Chart | RIANZ | 26 | ||
Swiss Albums Chart | Media Control | 38 | 10,000 | |
UK Albums Chart | BPI/The Official UK Charts Company | 35 | Gold | 200,000+ |
U.S. Billboard 200 | Billboard | 10 | Gold | 500,000+ |
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums | 2 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://pandora.nla.gov.au/pan/23790/20051020-0000/issue814.pdf
- ↑ "CRIA Gold/Platinum Certifications". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-16. Iliwekwa mnamo 2009-08-20.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Music of the Sun kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |