Kulala kwa Mama wa Mungu
Mandhari
Kulala kwa Mama wa Mungu ni sikukuu ya Kanisa ambayo ni maarufu katika Ukristo wa mashariki, yaani Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Makanisa Katoliki ya Mashariki vilevile.
Inaadhimishwa kila mwaka tarehe 15 Agosti baada ya wiki mbili za mfungo.
Inalingana na sherehe ya Maria kupalizwa mbinguni inayofanywa na Kanisa la magharibi siku hiyohiyo.
Neno "kulala" linachukuliwa kwa maana ya "kufa" kabla ya "kufufuliwa" na "kuchukuliwa mbinguni" kwa mwili wake.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Shoemaker, Stephen J (2002). Ancient traditions of the Virgin Mary's dormition and assumption. Oxford, New York: Oxford University Press. ISBN 978-0-19-925075-2. OCLC 50101584.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Full liturgical and hymnographic texts and readings for the Feast of the Dormition of the Theotokos (in English) Archived 5 Septemba 2010 at the Wayback Machine.
- Service of the Burial / Lamentations of the Theotokos, forming part of the Feast of the Dormition (in English) Archived 6 Septemba 2010 at the Wayback Machine.
- The Dormition of our Most Holy Lady the Mother of God and Ever-Virgin Mary Orthodox icon and synaxarion
- Icons of the Feast of Dormition Archived 23 Juni 2013 at the Wayback Machine.
- Icons of the Dormition
- Dormition article on Orthodox Wiki
- Epitaphios of the Theotokos Archived 15 Mei 2007 at the Wayback Machine. Russia
- Celebrating Dormition in the Holy Land Jerusalem
- Translation of the Dormition Icon of the Mother of God from Constantinople to the Kiev Caves, Far Caves (Feast celebrated May 3)
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kulala kwa Mama wa Mungu kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |