Nyota ya bahari
Mandhari
Nyota ya bahari (kwa Kilatini: Stella Maris) ni sifa mojawapo iliyotumika kwa Bikira Maria tangu mwanzoni mwa Karne za Kati.
Kwa jina hilo anaheshimiwa na kukimbiliwa na mabaharia Wakatoliki katika hatari za safari majini.